"Operesheni hiyo ambayo mtu huyu
aliuawa ilikuwa muhimu kwa serikali. Mtu huyu alikuwa na jukumu kubwa
kwa raia wengi wasio na hatia na kifo chake kitasaidia kurejesha amani,"
alisema waziri huyo kupitia Radio Mogadishu.
Maafisa kutoka serikali ya Somalia
inayoungwa mkono na jamii ya kimataifa wamemtaja mwanamgambo aliyeuawa
kuwa anayefahamika vyema kwa kutengeneza mabomu ya kuvaa mwilini pamoja
na ya kutengwa ndani ya gari ambayo hutumiwa mara kwa mara na waasi
kuyashambulia maeneo ya serikali. Hapajakuwa na kauli yoyote kutoka kwa
wapiganaji hao.
Shambulizi hilo linakuja wiki chache
baada ya shambulizi kali kufanywa katika jumba la maduka ya Westgate
jijini Nairobi, Kenya, lililodaiwa kufanywa na al-Shabaab ambapo watu 67
waliuawa.
Kisha kikosi maalumu cha jeshi la
wanamaji la Marekani kikafanya shambulizi katika bandari ya kusini ya
Barawe mapema mwezi huu (Oktoba) na kushindwa kufikia lengo lake: ambalo
lilikuwa ni kiongozi mmoja wa ngazi ya juu wa al-Shabaab na Mkenya
mwenye asili ya kisomali kwa jina Abdulkadir Mohammed Abdulkadir, pia
anayefahamika kama Ikrima.
Afisa mmoja wa Marekani ambaye
hakutaka kutajwa jina lake, hajasema sehemu ambayo ndege hiyo isiyoruka
na rubani ilianzia safari yake, lakini jeshi la Marekani huendesha
shughuli zake za ndege hizo kutoka kambi za nchini Djibouti na Arba
Minch kusini mwa Ethiopia.
Wapiganaji wa al-Shabaab wametimuliwa
kutoka miji mikuu ya Somalia, ikiwa ni pamoja na Mogadishu na bandari ya
kusini mwa nchi hiyo Kismayo, kufuatia operesheni ya jeshi la Umoja wa
Afrika linalosimamiwa na Umoja wa Mataifa na ambalo sasa lina wanajeshi
17,700.
Kundi hilo hata hivyo linayadhibiti
maeneo makubwa ya kusini mwa Somalia na katika kipindi cha miezi kadhaa
iliyopita, limekiongeza kiwango cha mashambulizi yake ya kujitoa mhanga.
Mwandishi: Bruce Amani/AFP
Home » Posts filed under Habari za Kitamaifa
Showing posts with label Habari za Kitamaifa. Show all posts
Showing posts with label Habari za Kitamaifa. Show all posts
DUNIA INA MAMBO!! SERIKALI YA ANGOLA YAZUIA DINI YA KIISLAM NA KUVUNJA MISIKITI YOTE
WAKATI uhuru wa kuabudu upo kwa kila mtu, Angola inaonekana kupingana na jambo hili. Nchi hiyo ya kusini mwa Afrika inasemekana imekuwa nchi ya kwanza duniani kupiga marufuku dini ya Uislam ambapo kwa mujibu wa habari mbalimbali kutoka nchini humo, misikiti imefungwa na baadhi imeharibiwa. Gazeti la Guardian liliripoti Novemba 22 mwaka huu kwamba Waziri wa Utamaduni wa Angola, Rosa Cruz e Silva, alisema “mchakato wa kuhalalisha Uislam haujapitishwa na Wizara ya Sheria na Haki za Binadamu, hivyo misikiti itafungwa hadi taarifa maalum itakapotolewa.” Waziri huyo alisema misikiti inafungwa ili kukomesha kinachoitwa kuzuia madhehebu haramu ya kidini ambapo chini ya sheria za nchi hiyo madhehebu mengi ya kidini yanachukuliwa kuwa ni ya kihalifu. Mwezi huu tarehe 24, Rais wa Angola, José Eduardo dos Santos, alisema nchi hiyo imo katika mchakato wa kukomesha taathira ya Uislam katika nchi hiyo ambapo Gavana wa Luanda, Bento Bento, alisema Waislam “wenye msimamo mkali” hawaruhusiwi nchini humo na kwamba serikali ya Angola haitaruhusu kuwepo misikiti na nyumba zozote za ibada kwa Waislam. wakati huohuo habari kutoka MAIL ONLINE, ZINASEMA KWAMABA " SERIKALI YA ANGOLA YAZUIA DINI YA KIISLAM NA KUVUNJA MISIKITI YOTE
Angola bans Islam and shuts down all mosques across the country because it 'clashes with state religion of Christianity' Minister of culture described Islam as a 'sect' which is banned as counter to Angolan customs and culture Nation's president said: ‘This is the final end of Islamic influence in our country' Angola has reportedly declared Islam illegal and ordered for all of the country’s mosques to be closed down. Minister of culture Rosa Cruz e Silva said that mosques in the largely Christian country would be closed until further notice. She described Islam as a ‘sect’ that would be banned as counter to Angolan customs and culture. Angola (capital, Luanda, pictured) has reportedly declared Islam illegal and ordered for all mosques to be closed There are unconfirmed reports that mosques across the African country are being destroyed, according to the International Business Times. President Jose Edurado dos Santos reportedly told the Osun Defence daily: ‘This is the final end of Islamic influence in our country.’ Along with Islam, which is a religion associated with less than 1 per cent of the population of 19 million, 194 other ‘sects’ have been banned in the nation, where more than half the population is Christian. Ms Cruz e Silva said: ‘The legalisation of Islam has not been approved by the Ministry of Justice and Human Rights [and] their mosques will be closed until further notice.’ Clashes between Christians and Muslim people are frequently reported in the local media. source. - Angola bans Islam and shuts down all mosques | Mail Online - The Guardian la Uingereza

WAZIRI MKUU WA UKRAINE JULIA TYMOSHENKO AANZA MGOMO WA KUTOKULA CHAKULA NCHINI HUMO.
Waziri Mkuu wa zamani wa Ukraine, Julia Tymoshenko. |
KIONGOZI wa upinzani nchini Ukraine, Julia Tymoshenko leo ameanza mgomo wa kula chakula, akiwaunga mkono maelfu ya watu wanaopinga uamuzi wa serikali hiyo kuubatilisha mkataba baina ya nchi hiyo na Umoja wa Ulaya. Tymoshenko, kiongozi mwenza wa muungano uliofanya mapinduzi yaliyopewa jina la chungwa, mwaka 2004, unaounga mkono mataifa ya Magharibi, alitangaza kuanza mgomo huo katika barua yake aliyowaandikia wafuasi wapatao 20,000 jana Jumatatu wanaounga mkono mkataba wa ushirikiano kati ya Ukraine na Umoja wa Ulaya, ambao wanaandamana mjini Kiev kwa siku ya pili mfululizo. Tymoshenko aliyekuwa waziri mkuu wa Ukraine, amesema ataendelea kugoma hadi hapo Rais Viktor Yanukovych atakaposaini mkataba huo kuhusu ushirikiano na biashara huru na Umoja wa Ulaya. Ameongeza kusema kuwa iwapo Yanukovych hatosaini mkataba huo tarehe 29 ya mwezi huu wa Novemba, atolewe katika uongozi wa Ukraine kwa njia ya amani na kikatiba, pamoja na wasaidizi wake wa kisiasa na wala rushwa
Polisi wakipambana na waandamanaji mjini Kiev. |
Rais Viktor Yanukovych na Rais Vladmir Putin. Uamuzi huo umetolewa baada ya bunge kushindwa kwa mara nyingine kuupitisha muswada wa sheria utakaoruhusu kuachiwa huru kwa Tymoshenko, sharti kuu lililotolewa na Umoja wa Ulaya ili nchi hiyo iweze kusaini mkataba huo. Tymoshenko anatumikia kifungo cha miaka saba gerezani baada ya kupatikana na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka. Jana Jumatatu, polisi walitumia mabomu ya kutoa machozi kuwatanya zaidi ya waandamanaji 100,000 wanaoupinga uamuzi huo wa serikali waliokusanyika mjini Kiev. Umati huo wa watu unaelezwa kuwa mkubwa zaidi kutokea tangu mapinduzi ya chungwa na baadae Viktor Yushchenko kutoka muungano unaounga mkono mataifa ya Magharibi, kushinda katika uchaguzi wa urais mwaka 2007. DW
KIONGOZI WA NGAZI YA JUU WA AL-SHABAAB AUAWA SOMALIA
Kiongozi wa
ngazi ya juu anayeongoza mashambulizi ya kujitoa mhanga ya kundi la
al-Shabaab lenye mafungamano na al-Qaeda ameuawa katika shambulizi la
ndege isiyoruka na rubani Kusini mwa Somalia
Waziri wa Mambo ya Ndani, Abdikarin Hussein Guled, ameiambia redio ya serikali kuwa idara ya ujasusi ilikuwa ikimfuatilia Ibrahim Ali Abdi, maarufu kama Anta-Anta, kwa muda sasa kabla ya shambulizi hilo kufanywa jana Jumatatu 28.10.2013
Waziri huyo hajasema ni nani aliyefanya shambulizi hilo, lakini afisa mmoja mjini Washington amesema jeshi la Marekani lilifanya shambulizi la ndege isiyoruka na rubani likililenga kundi la al-Shabaab nchini Somalia jana Jumatatu.

Mabaki ya Hayati Mobutu kuzikwa DR Congo
Serikali ya Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo, imesema
itahamisha mabaki ya mwili wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Mobutu Sese
Seko kufuatia makubaliano na familia yake .
Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya rais wa nchi hiyo, President Joseph Kabila.Mobutu alijulikana na wengi kuwa kiongozi mkatili sana |
Hayati Mobutu alizikwa nchini Morocco, alikofariki mnamo mwaka 1997 baada ya kuondolewa mamlakani kutokana na uasi ulioongozwa na babake Rais Joseph Kabila.
Hatua ya Kabila inaonekana na wengi kama mpango wake wa kuwapatisha watu wa nchi hiyo.
Kabila alishinda uchaguzi wa mwaka 2007 bila ya pingamizi na anakabiliana na uasi Mashariki mwa nchi.
Rais Kabila ametoa tangazo hilo la kipekee katika hotuba yake kwa bunge ambapo aliahidi kuunda serikali ya pamoja.
‘‘Serikali hii itajumuisha wanachama wa chama tawala na wale wa upinzani pamoja na viongozi kutoka mashirika ya kijamii,’’ alisema katika hotuba yake.
Mtaalamu wa maswala ya Afrika Ibrahima Diane anasema kuwa huenda Kabila alishauriana na mwanawe Mobutu, Nzanga Mobutu, kabla ya kutangaza kuwa mabaki ya hayati Mobutu yatazikwa nchini Congo.
Mobutu Sese Seko angali anawakumbuka wengi hasa wafuasi wake wanaoamini kuwa moja ya mambo mazuri aliyoyafanya ni kuunganisha nchi hiyo.
Nzanga Mobutu ni mbunge ambaye sasa ni mshirika wa karibu wa Rais Kabila.
Mobutu Sese Seko alitoroka DR Congo wakati waasi walioongozwa na Laurent Kabila, kuzingira mji mkuu Kinshasa, mnamo mwaka 1997.
Wakosoaji wake wanamtuhumu kwa kuwa mkatili na kiongozi mfisadi aliyekandamiza upinzani na kuponda maliasili ya DR Congo.
Pia alitumia mamilioni ya dola kuijengea kasri yake yaGbadolite, iliyo ndani ya misitu ya DRC ambayo ilifanyiwa msako mkubwa alipotoroka DR Congo.
Aliingia mamlakani kupitia kwa mapinduzi na kuitawala DR Congo, iliyokuwa inajulikana kama Zaire, kwa zaidi ya miaka 30.
Hata hivyo alifariki akiwa na miaka 66 miezi michache tu baada ya kuikimbia nchi yake.
Udakuzi: Obama azidi kubanwa na Merkel
Ufaransa na Ujerumani zimetoa wito wa kufanya
makubaliano na Marekani ifikapo mwishoni mwa mwaka huu ili kumaliza
tatizo la ujasusi uliofanywa na Marekani .
Hii inafuatia kuwepo kwa taarifa kuwa majajusi
wa Marekani walikuwa wakifanya udakuzi wa mawasiliano ya simu ya
Chansela wa Ujerumani Angela Merkel pamoja na mamililoni ya raia wa
Ufaransa.Akizungumza katika mkutano wa Jumuiya ya nchi za ulaya Bi Merkel amesama mbegu ya kutoamiana imepandwa na sasa itafanya ushirikiano katika mambo ya kiintelejensia kuwa mgumu.
Wakati huo nyaraka mpya za siri ambazo zimevujishwa na mmarekani Edward Snowden zinaeleza kuwa Marekani imekuwa ikifanya udakuzi wa simu kwa viongozi wa nchi thelathini na tano duniani.
Waraka huo wa siri uliochapishwa kwenye gazeti la the Guardian la Uingereza unaeleza Idara ya Ujasusi ya Marekani ilianza kufuatilia simu hizo baada ya kupewa namba za simu muhimu zipatazo mia mbili kutoka Idara ya Serikali ya Marekani.
JE WANAJESHI WA KENYA WALIPORA WESTGA
Hata hivyo haijulikani walichokuwa wamekibeba kwenye mifuko hiyo .
Pamoja na picha za wanajeshi wakiwa wamebeba mifuko, pia kulikuwa na picha zengine zilizoonyesha mashine ya pesa zikiwa zimeporwa ndani ya mikahawa huku picha za alama za risasi kwenye maeneo ya kuhifadhia pesa, pia zikionekana.
Inaarifiwa ilikuwa jaribio ya kufungua hifadhi hizo ambalo halikufanikiwa.
Madai haya ya wanajeshi kufanya uporaji wa maduka katika jingo hilo, yalikanushwa vikali na jeshi la Kenya kiasi cha kutaka hatua kuchukuliwa dhidi ya waliokuwa wanatoa madai hayo, lakini haijulikani jibu lao litakuwa nini hasa kwa picha hizo za CCTV zilizoonyesha wanajeshi hao wakifanya uporaji.
Wamiliki wa maduka waliorejea kwenye maduka yao bbaada ya shambulizi , walidai kuwa maduka yao yaliporwa ingawa jeshi lilikanusha madai hayo baadhi ya taarifa zikisema kuwa ilikuwa njama ya wafanyabiashara kudai fidia kwa mali zao zilizoharibika.
Sio wanajeshi pekee waliotuhumiwa kwa uporaji, kwani polisi mmoja naye alifikishwa mahakamani kwa kosa la uporaji baada ya kupatikana na pochi la mtu liliokuwa na damu.
Wangambao wa Al Shabaab waliteka nyara jengo la Westgate kwa siku nne na kusababisha vifo vya watu 60 pamoja na kuwajeruhi zaidi ya watu miamoja.
Bomu lauwa wengi Beledweyne, Somalia
Mshambuliaji wa kujitolea mhanga amejiripua kwenye mkahawa uliojaa watu katika mji wa Beledweyne, katikati mwa Somalia.
Watu kama 16 wameuwawa na zaidi ya 30 kujeruhiwa.Kundi la wapiganaji wa Kiislamu, Al Shabab, limesema limefanya shambulio hilo.
Serikali ya Somalia, ikisaidiwa na kikosi cha wanajeshi kutoka nchi kadha za Afrika, inapigana na Al Shabab ili kuidhibiti nchi.
Al Shabab imesema iliwalenga wanajeshi kutoka Ethiopia na Djibouti walioko Beledweyne, lakini walioshuhudia tukio hilo wameiambia BBC kwamba waliouwawa wengi walikuwa raia.
WATOTO WATANO WAUAWA KWA BOMU SUDAN
Watoto watano wameuawa kwa bomu wakati walipokuwa wakichimba chuma chakavu katika eneo la mji mkuu wa Juba, Sudan Kusini.
Watoto hao walikuwa wakitafuta vyuma hivyo katika eneo la makazi ya zamani wanajeshi, msemaji wa Jeshi ameiambia BBC.
Mwandishi wa Habari wa BBC James
Copnall amesema baruti ambazo hazijalipuka kwenye migodi bado ni tatizo
kubwa Sudan Kusini kufuatia miongo ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Watoto wenye umri kati ya miaka 10 na 14 wameuawa katika eneo la makazi ya wanajeshi ya zamani katika wilaya ya Souk Sita katika mji wa Juba, msemaji wa Jeshi Kanali Philip Aguer amesema.
Amesema raia wa Uganda aliyekuwa pamoja watoto hao akitarajia kununua vyuma hivyo chakavu naye amejeruhiwa.
Sudan Kusini ilipata uhuru mwaka 2011 baada ya muda mrefu wa migogoro na Sudan na kubakia miongoni mwa mataifa maskini sana duniani.
WAKIMBIZI SYRIA WATESEKA MISRI
Watu wengi nchini Syria wametoroka vita na kukimbilia nchi jirani |
Shirika la kimataifa Amnesty International,linasema
kuwa maafisa nchini Misri wanawazuilia mamia ya wakimbizi wa Syria
katika mazingira mabaya sana.
Wakimbizi hao wanatoroka vita vinavyoendelea Syria.
Katika ripoti yake mpya, shirika hilo linasema kuwa idadi kubwa ya watoto wanazuiliwa wengi wakiwa hawana wazazi.
Kwa mujibu wa shirika hilo, baadhi ya wakimbizi
wamezuiliwa katika vituo vya polisi ambako hali ni duni wengi wakiwa
hawapati chakula wala matibabu kwa walio wagonjwa.
Linasema kuwa mjini Alexandria , mapacha wawili wenye mwaka mmoja walipatikana miongoni mwa wale waliozuiliwa.
Maafisa wa utawala bado hawajajibu tuhuma za shirika hilo.
Misri imekuwa ikikumbwa na vurugu za kisiasa tangu kuondolewa mamlakani kwa aliyekuwa Rais Hosni Mubarak mwaka 2011.
RWANDA NA UGANDA WAJITOA BANDARI YA DAR ES SALAAM
Chama cha Wasafirishaji wa Mafuta Tanzania (Tatoa), kimesema Rwanda na Uganda zitajitoa kutumia Bandari ya Dar es Salaam kuanzia Septemba Mosi, mwaka huu.
Katibu Mtendaji wa Tatoa, Zacharia Hanspope aliwaambia waandishi wa habari jana baada ya kukutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuwa nchi hizo zinajitoa kutokana na matatizo mbalimbali ambayo kwa muda mrefu zimekuwa zikiyalalamikia lakini Serikali haikuchukua hatua.
Hanspope alisema ushuru wa barabara na ushuru wa forodha ni baadhi ya vikwazo ambavyo vimekuwa vikilalamikiwa kwa muda mrefu na wafanyabiashara mbalimbali wa nchi hizo.

10 Facts About Boko Haram
This terrorist group jumped to the forefront of the battle
against Islamist terrorists in North Africa, when it kidnapped a French family
from Cameroon. But who is this group? How did it start? And what role did
Nigeria’s faction fighting have in its emergence? Here are 10 facts about Boko
Haram...
Who is Boko Haram?
Boko Haram is the name of a large Islamist group fighting in
northern Nigeria. Its aim is to establish an independent Islamic state under
Sharia law. But this is only partially accurate. The group’s proper name is
Jamā'atu Ahlis Sunnah Lādda'awatih wal-Jihad (People Committed to the
Propagation of the Prophet's Teachings and Jihad). ‘Boko Haram’ was a
dismissive name
given by neighbours of the sect in its early years and means “Western Education Is Forbidden” in the Hausa language; alluding to the group’s hard-line belief that Western ideas, particularly from British colonialism, have turned Muslims away from the virtues of Islam.

How Boko Haram Got Started