PICHA: WAPENZI WAKAMATWA NA POLISI BAADA YA KUFUNGA NDOA WAKIWA UCHI

Ama kweli dunia ina mambo na vijambo vyake, kwani sasa imefikia hatua kuna mambo mengi sana yanafanyika katika ulimwengu huu ambayo ni ya kustaajabisha. katika hali ya kushangaza wapenzi wamekamatwa na polilsi baada ya kusherekea ndoa yao wakiwa uchi The bride Gypsy Taub, 44, and groom Jamyz Smith,...
JINSI YA KUTAMBUA FURSA NA KUWEZA KUANZISHA BIASHARA YAKO BINAFSI.

Je utawezaje kutambua fursa na kuweza kuanzisha biashara katika mazingira yako? Bila shaka hili swali watu wengi wanaotamani kumiliki biashara zao binafsi wamekuwa wakijiuliza mara kwa mara pasipo kutilia msisitizo katika maisha yao. Unaweza kufikiri mambo mengi sana kuhusu namna ya kuwa na biashara yako binafsi lakini kutokuwa...
LIST OF 10 MOST DANGEROUS COUNTRIES IN 2013

10.NIGERIA Nigeria is a very tempting place for tourists as the place is natural, beautiful and has a wide variety of flora, fauna and wild life, but the ever increasing terrorism spread by the militants and frequent threats of kidnappings, have unfortunately made the place unpopular for tourists,...
WANAWAKE NCHINI SAUDI ARABIA WAMEPANGA KUANDAMANA ILI WAPATE HAKI YA KUENDESHA GARI

Leo October 26 2013 ndio Wanawake nchini Saudi Arabia wamepanga kuandamana kupinga wao kunyimwa kuendesha magari sehemu yoyote nchini humo ikiwa ni nchi pekee duniani ambayo inakataza Wanawake kuendesha magari hata kama wanaweza. Unaambiwa kwa sasa Mamlaka za Saudi Arabia zimewaonya Wanawake hao kutoandamana katika maandamano hayo yatakayokua...
WASICHANA WANAVYOCHOMWA MATITI YAO KWA MOTO ILI KUYAPUNGUZA YASIWE MAKUBWA..

Aina fulani ya unyanyasaji iliyojificha ambayo inajulikana kama ‘breast ironing,’ ambapo wasichana wadogo kama miaka 10 wanayachoma maziwa yao na vitu vya moto ili kujifanya wamekua inaweza kuwa inafanyika UK.Unyanyasaji huu wakimila za kikameruni uliwekwa ili kuondoa matamanio ya kimapenzi ya wanaume,mimba zisizohitajika na ubakaji kwa kuzuia dalili...
Followers
Tags 2
Popular Posts
-
New AUDIO | Geez Mabovu - Story | Download Sikiliza & Download Nyimbo ya Marehemu GEEZ MABOVU akiwa amemshirikisha GALATONE
-
Dowload na Sikiliza ngoma mpya ya Mr Blue- Pesa