Home » Posts filed under Video
Showing posts with label Video. Show all posts
Showing posts with label Video. Show all posts
New Music Video: Desire Luzinda aachia video mpya ‘Ekitone’
Muimbaji wa Uganda Desire Luzinda ameachia video mpya ya
wimbo wake uitwao ‘Ekitone’, ikiwa ni ishara sasa amerejea katika maisha yake
ya kawaida na kazi zake za muziki zinaendelea baada ya kutikiswa na kashfa ya
kuvuja kwa picha zake za utupu hivi karibuni.
Luzinda ameshare video hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook
na kuandika “EKITONE video finally out. Hope its gonna make u scream.” Itazame
hapa.
New Music Video: P-Square washerehekea birthday yao kwa kuachia video mpya ‘Shekini’
Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square leo Nov.18
wanatimiza umri wa miaka 33, na katika kusherehekea siku yao ya kuzaliwa ambayo
inaenda pamoja na maadhimisho ya ndoa ya Peter, mapacha hao wametoa video ya
single yao ‘Shekini’ ambayo inapatikana katika album yao ya sita ‘Double
Trouble’. Video hii imeongozwa na director maarufu wa Nigeria Clarence Peters.
“Today is that day, a day to celebrate life. We have had
tragedy and happiness like everyone…We are thankful for another year. We are
blessed and we thank God for his blessings in our lives. Many thanks to the
people who have always bin there for us. WE LOVE YOU ALL…happy birthday to us”
Paul ameandika Facebook