DUNIA INA MAMBO!! SERIKALI YA ANGOLA YAZUIA DINI YA KIISLAM NA KUVUNJA MISIKITI YOTE

WAKATI uhuru wa kuabudu upo kwa kila mtu, Angola inaonekana kupingana na jambo hili. Nchi hiyo ya kusini mwa Afrika inasemekana imekuwa nchi ya kwanza duniani kupiga marufuku dini ya Uislam ambapo kwa mujibu wa habari mbalimbali kutoka nchini humo, misikiti imefungwa na baadhi imeharibiwa. Gazeti la Guardian liliripoti Novemba 22 mwaka huu kwamba Waziri wa Utamaduni wa Angola, Rosa Cruz e Silva, alisema “mchakato wa kuhalalisha Uislam haujapitishwa na Wizara ya Sheria na Haki za Binadamu, hivyo misikiti itafungwa hadi taarifa maalum itakapotolewa.” Waziri huyo alisema misikiti inafungwa ili kukomesha kinachoitwa kuzuia madhehebu haramu ya kidini ambapo chini ya sheria za nchi hiyo madhehebu mengi ya kidini yanachukuliwa kuwa ni ya kihalifu. Mwezi huu tarehe 24, Rais wa Angola, José Eduardo dos Santos, alisema nchi hiyo imo katika mchakato wa kukomesha taathira ya Uislam katika nchi hiyo ambapo Gavana wa Luanda, Bento Bento, alisema Waislam “wenye msimamo mkali” hawaruhusiwi nchini humo na kwamba serikali ya Angola haitaruhusu kuwepo misikiti na nyumba zozote za ibada kwa Waislam. wakati huohuo habari kutoka MAIL ONLINE, ZINASEMA KWAMABA " SERIKALI YA ANGOLA YAZUIA DINI YA KIISLAM NA KUVUNJA MISIKITI YOTE
Angola bans Islam and shuts down all mosques across the country because it 'clashes with state religion of Christianity' Minister of culture described Islam as a 'sect' which is banned as counter to Angolan customs and culture Nation's president said: ‘This is the final end of Islamic influence in our country' Angola has reportedly declared Islam illegal and ordered for all of the country’s mosques to be closed down. Minister of culture Rosa Cruz e Silva said that mosques in the largely Christian country would be closed until further notice. She described Islam as a ‘sect’ that would be banned as counter to Angolan customs and culture. Angola (capital, Luanda, pictured) has reportedly declared Islam illegal and ordered for all mosques to be closed There are unconfirmed reports that mosques across the African country are being destroyed, according to the International Business Times. President Jose Edurado dos Santos reportedly told the Osun Defence daily: ‘This is the final end of Islamic influence in our country.’ Along with Islam, which is a religion associated with less than 1 per cent of the population of 19 million, 194 other ‘sects’ have been banned in the nation, where more than half the population is Christian. Ms Cruz e Silva said: ‘The legalisation of Islam has not been approved by the Ministry of Justice and Human Rights [and] their mosques will be closed until further notice.’ Clashes between Christians and Muslim people are frequently reported in the local media. source. - Angola bans Islam and shuts down all mosques | Mail Online - The Guardian la Uingereza

0 comments:

Post a Comment

Recent Posts