Showing posts with label Burudani. Show all posts
Showing posts with label Burudani. Show all posts

PICHA: WAPENZI WAKAMATWA NA POLISI BAADA YA KUFUNGA NDOA WAKIWA UCHI

Ama kweli dunia ina mambo na vijambo vyake, kwani sasa imefikia hatua kuna mambo mengi sana yanafanyika katika ulimwengu huu ambayo ni ya kustaajabisha. katika hali ya kushangaza wapenzi wamekamatwa na polilsi baada ya kusherekea ndoa yao wakiwa uchi The bride Gypsy Taub, 44, and groom Jamyz Smith,...



PICHA: P. DIDDY AKIWA AMEPOZI NA WATOTO WAKE SITA

The multi millionaire music mogul has 5 children with three different women, 20 year old Justin, 15 year old Christian, 7 year old twins D’Lila and Jessie, and 7 year old Chance. He is also the informal stepfather to ex girlfriend, Kim Porter’s son, Quincy. ...



JINSI YA KUTAMBUA FURSA NA KUWEZA KUANZISHA BIASHARA YAKO BINAFSI.

Je utawezaje kutambua fursa na kuweza kuanzisha biashara katika mazingira yako? Bila shaka hili swali watu wengi wanaotamani kumiliki biashara zao binafsi wamekuwa wakijiuliza mara kwa mara pasipo kutilia msisitizo katika maisha yao. Unaweza kufikiri mambo mengi sana kuhusu namna ya kuwa na biashara yako binafsi lakini kutokuwa...



KUHUSIANA NA MIRATHI YA MAREHEMU KANUMBA, BABA YAKE AMEDAI PATACHIMBIKA!!!!

Ni zaidi ya mwaka mmoja umepita toka kufariki kwa mwigizaji staa wa Tanzania Steven Kanumba, ambae aliacha kampuni ya kutengeneza filamu aliyokua akiimiliki pamoja na mali nyingine yakiwemo magari.Baba mzazi wa Marehemu Mzee Kanumba anaeishi 87.5 Shinyanga amesema ‘kwenye mirathi tumeshirikiana na Mama Kanumba ingawa Jaji kachanganya baada...



LIST OF 10 MOST DANGEROUS COUNTRIES IN 2013

10.NIGERIA Nigeria is a very tempting place for tourists as the place is natural, beautiful and has a wide variety of flora, fauna and wild life, but the ever increasing terrorism spread by the militants and frequent threats of kidnappings, have unfortunately made the place unpopular for tourists,...



WANAWAKE NCHINI SAUDI ARABIA WAMEPANGA KUANDAMANA ILI WAPATE HAKI YA KUENDESHA GARI

Leo October 26 2013 ndio Wanawake nchini Saudi Arabia wamepanga kuandamana kupinga wao kunyimwa kuendesha magari sehemu yoyote nchini humo ikiwa ni nchi pekee duniani ambayo inakataza Wanawake kuendesha magari hata kama wanaweza. Unaambiwa kwa sasa Mamlaka za Saudi Arabia zimewaonya Wanawake hao kutoandamana  katika maandamano hayo yatakayokua...



Mechi ya Wahariri na Klabu ya Waandishi Iringa sasa rasmi

Kutoka Kulia Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim, Nahodha Msaidizi wa Timu ya Soka ya Wahariri Saleh Mohamed, Nahodha wa timu hiyo Kulwa Karedia na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu wakionesha sehemu ya vifaa mbalimbali vya michezo vilivyotolewa na Vodacom kuwezesha mechi kati...



NAY MITEGO AZIDI KUPASUA ANGA LA MZIKI

Msanii mtata wa muziki wa kizazi kipya Nay wa Mitego amefanikiwa kuuutangaza mziki wake ndani na nje ya nchi hii ni baada ya kuchaguliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo za mziki nchini Kenya . Nay ameingia katika kategori mbili katika tuzo za Nzumali nchini Kenya, ameingia katika kategori ya...



KENDRIC LAMAR ASHINDA TUZO 5,KWENYE TUZO ZA BET HIPHOP,SOMA ORODHA YA WASHINDI WOTE.

KENDRIC LAMAR Rapa ambaye mimi binafsi  namkubali kinoma Kendric Lamar ameongoza kwa kuchukua Tuzo 5 katika Tuzo za Hip Hop za BET mwaka 2013.Kendric Lamar ameshinda tuzo kubwa ikiwemo Album bora ya  mwaka ' ‘Good Kid,m.A.A.d City' na 'Lyricist of the year' yaani mwandishi bora wa mashairi'.Aliyefatia kwa...



DIAMOND NA WEMA WALIKUTANA HONG KONG BADO NI WAPENZI USHAHIDI HUU HAPA NA WALA HAWAFANYI MOVIE-BONGO5

Kuna sababu zaidi ya 100 kuwa ‘ile inayoitwa’ movie ya Diamond na Wema Sepetu iliyopewa jina na Diamond, ‘Temptations’ haipo na kama unaingoja, utaingoja hadi miguu iingie tumboni. Hakuna movie. Diamond na Wema Sepetu walikuwa wakila bata na kufurahia kama wapenzi wengine wanaopendana kwa dhati. Kwa kuangalia picha...



WASICHANA WANAVYOCHOMWA MATITI YAO KWA MOTO ILI KUYAPUNGUZA YASIWE MAKUBWA..

Aina fulani ya unyanyasaji iliyojificha ambayo inajulikana kama ‘breast ironing,’ ambapo wasichana wadogo kama miaka 10 wanayachoma maziwa yao na vitu vya moto ili kujifanya wamekua inaweza kuwa inafanyika UK.Unyanyasaji huu wakimila za kikameruni uliwekwa ili kuondoa matamanio ya kimapenzi ya wanaume,mimba zisizohitajika na ubakaji kwa kuzuia dalili...



(VIDEO) REKORD MPYA YAWEKWA NA RUBANI HUYU MTOTO KUTOKA CHINA

He Yide (5) ambaye amepewa jina la utani la Duoduo mkazi wa Nanjing China ameweka rekodi ya kuwa rubani mdogo zaidi duniani na sijui kama atatatokea mwingine wa kuvunja rekodi hii Duoduo ana miaka mitano na nusu. He Yide akiwa na Mwalimu wake wakati wa kurusha ndege hiyo...



TAZAMA PICHA ZA MWANAMKE MWENYE KUCHA NDEFU KULIKO WOTE DUNIANI.

  Walton ambaye pia ni mwanamuziki alihudhuria uzinduzi wa Guinness World Records 2014 uliofanyika London, Uingereza Jumanne wiki hii. ...



Jokate Afunguka Kuhusu Uhusiano Wake na Lucci

Mwanamitindo ambaye pia kwa sasa amejikita katika tasnia ya muziki akijulikana kama Jokate Mwegelo au maarufu kama Kidoti ambae kwa sasa anatamba zaidi na ile ngoma ambayo amefanya na Producer Lucci inayoitwa Kaka Dada. Kutoka mtandao wa instagram kupitia ukurasa wa Kidoti ameonekana kufunguka juu ya mahusiano yake...



SAKATA LA MWANAFUNZI WA KIDAT CHA NNE ALIYEZALISHWA NA DIAMOND LACHUKUA UKURASA MPYA...!!

MREMBO aliyetimuliwa shule akiwa kidato cha nne baada ya kutundikwa mimba, Sasha Juma ameibuka na madai kuwa amezaa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. MCHEZO MZIMA Habari kutoka kwa chanzo chetu cha kuaminika zilidai kuwa Sasha na Diamond walikutana katika mgahawa mmoja uliopo kwenye maduka...



Video: TID ft Ngwair- Fly Away

Dayna akizungumzia sakata la beat ya wimbo wake kutumiwa na Diamond kwenye Number 1 (Audio)

Apparently wimbo mpya wa Diamond, Number 1 ambao video yake ilifanyika nchini Afrika Kusini na kuzinduliwa wiki iliyopita, umetumia beat ya wimbo wa Dayna Nyange uliokuwa umerekodiwa tayari na alipanga amshirikishe Diamond. Dayna aliyewahi kuhit na wimbo Nivute Kwako, ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo aliurekodi muda mrefu na...



AY atajwa kuwania vipengele viwili kwenye tuzo za Channel O,CHOAMVA 2013

Kwa mwaka mwingine tena, AY ametajwa kuwania tuzo za 10 za Channel O Africa Music Awards ama CHOAMVA. Katika majina hayo yaliyotangazwa leo, AY ametajwa kuwania kipengele cha Most Gifted Male kwa wimbo wake Party Zone aliomshirikisha Marco Chali. Wengine anaochuana nao kwenye kipengele hicho ni pamoja na...



VIDEO- Jux: Uzuri Wako

Forbes Africa & Channel O watoa orodha ya wasanii 10 wa Afrika wanaoingiza mkwanja zaidi