Home
» Makala na Matukio
» WASICHANA WANAVYOCHOMWA MATITI YAO KWA MOTO ILI KUYAPUNGUZA YASIWE MAKUBWA..
WASICHANA WANAVYOCHOMWA MATITI YAO KWA MOTO ILI KUYAPUNGUZA YASIWE MAKUBWA..
Aina fulani ya unyanyasaji iliyojificha ambayo inajulikana kama ‘breast ironing,’ ambapo wasichana wadogo kama miaka 10 wanayachoma maziwa yao na vitu vya moto ili kujifanya wamekua inaweza kuwa inafanyika UK.
Unyanyasaji huu wakimila za kikameruni uliwekwa ili kuondoa matamanio ya kimapenzi ya wanaume,mimba zisizohitajika na ubakaji kwa kuzuia dalili za kuwa mtoto wa kike anapevuka/anakuwa mtu mzima,gazeti la independent liliripoti.
Kwa wajuzi wanasema kuwa maelf ya wakameruni wanaoishi UK wanafuata mila hii. Kuchoma matiti (Breast ironing)inatambulika na UN kama moja ya makosa ya jinai dhidi ya wanawake na kwa makadirio wasichana wadogo milioni 3.8 wameathiriwa na mila hii. ukiachia mbali kuwa inamaumivu makali,pia mila hii inahatarisha afya ya wasichan hao na kusababisha magonjwa na titi moja au matiti yote

You may also Like
Followers
Tags 2
Popular Posts
-
A married woman has bitten more than she can chew and her marriage is now on the brinks after a member of her husband's family caught ...

0 comments: