Showing posts with label Habari za Kitamaifa. Show all posts
Showing posts with label Habari za Kitamaifa. Show all posts

DUNIA INA MAMBO!! SERIKALI YA ANGOLA YAZUIA DINI YA KIISLAM NA KUVUNJA MISIKITI YOTE

WAKATI uhuru wa kuabudu upo kwa kila mtu, Angola inaonekana kupingana na jambo hili. Nchi hiyo ya kusini mwa Afrika inasemekana imekuwa nchi ya kwanza duniani kupiga marufuku dini ya Uislam ambapo kwa mujibu wa habari mbalimbali kutoka nchini humo, misikiti imefungwa na baadhi imeharibiwa. Gazeti la Guardian...



WAZIRI MKUU WA UKRAINE JULIA TYMOSHENKO AANZA MGOMO WA KUTOKULA CHAKULA NCHINI HUMO.

Waziri Mkuu wa zamani wa Ukraine, Julia Tymoshenko. Waziri Mkuu wa zamani wa Ukraine, Julia Tymoshenko. KIONGOZI wa upinzani nchini Ukraine, Julia Tymoshenko leo ameanza mgomo wa kula chakula, akiwaunga mkono maelfu ya watu wanaopinga uamuzi wa serikali hiyo kuubatilisha mkataba baina ya nchi hiyo na Umoja wa...



KIONGOZI WA NGAZI YA JUU WA AL-SHABAAB AUAWA SOMALIA

Kiongozi wa ngazi ya juu anayeongoza mashambulizi ya kujitoa mhanga ya kundi la al-Shabaab lenye mafungamano na al-Qaeda ameuawa katika shambulizi la ndege isiyoruka na rubani Kusini mwa Somalia Waziri wa Mambo ya Ndani, Abdikarin Hussein Guled, ameiambia redio ya serikali kuwa idara ya ujasusi ilikuwa ikimfuatilia Ibrahim...



Mabaki ya Hayati Mobutu kuzikwa DR Congo

Serikali ya Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo, imesema itahamisha mabaki ya mwili wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Mobutu Sese Seko kufuatia makubaliano na familia yake . Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya rais wa nchi hiyo, President Joseph Kabila. Mobutu alijulikana na wengi kuwa kiongozi mkatili...



Udakuzi: Obama azidi kubanwa na Merkel

Chansela wa Ujerumani Angela Merkel akiwa na Rais Barak Obama wa Marekani Ufaransa na Ujerumani zimetoa wito wa kufanya makubaliano na Marekani ifikapo mwishoni mwa mwaka huu ili kumaliza tatizo la ujasusi uliofanywa na Marekani . Hii inafuatia kuwepo kwa taarifa kuwa majajusi wa Marekani walikuwa wakifanya udakuzi...



JE WANAJESHI WA KENYA WALIPORA WESTGA

Picha za wanajeshi wa Kenya waliokwenda katika jumba la Westgate katika juhudi za uokozi na kisha baadaye kuonekena kwenye kamera za CCTV wakiondoka na mifuko ya plasitiki yenye bidhaa za madukani, bila shaka zimewashangaza wengi. Picha hizo mwanzo zimeonyesha wanajeshi wakiingia ndani ya jengo hilo wakiwa wamebeba silaha...



Bomu lauwa wengi Beledweyne, Somalia

Mshambuliaji wa kujitolea mhanga amejiripua kwenye mkahawa uliojaa watu katika mji wa Beledweyne, katikati mwa Somalia. Watu kama 16 wameuwawa na zaidi ya 30 kujeruhiwa. Kundi la wapiganaji wa Kiislamu, Al Shabab, limesema limefanya shambulio hilo. Serikali ya Somalia, ikisaidiwa na kikosi cha wanajeshi kutoka nchi kadha za...



WATOTO WATANO WAUAWA KWA BOMU SUDAN

Watoto watano wameuawa kwa bomu wakati walipokuwa wakichimba chuma chakavu katika eneo la mji mkuu wa Juba, Sudan Kusini. Watoto hao walikuwa wakitafuta vyuma hivyo katika eneo la makazi ya zamani wanajeshi, msemaji wa Jeshi ameiambia BBC. Mwandishi wa Habari wa BBC James Copnall amesema baruti ambazo hazijalipuka...



WAKIMBIZI SYRIA WATESEKA MISRI

Watu wengi nchini Syria wametoroka vita na kukimbilia nchi jirani Shirika la kimataifa Amnesty International,linasema kuwa maafisa nchini Misri wanawazuilia mamia ya wakimbizi wa Syria katika mazingira mabaya sana. Wakimbizi hao wanatoroka vita vinavyoendelea Syria. Katika ripoti yake mpya, shirika hilo linasema kuwa idadi kubwa ya watoto wanazuiliwa...



RWANDA NA UGANDA WAJITOA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Chama cha Wasafirishaji wa Mafuta Tanzania (Tatoa), kimesema Rwanda na Uganda zitajitoa kutumia Bandari ya Dar es Salaam kuanzia Septemba Mosi, mwaka huu. Katibu Mtendaji wa Tatoa, Zacharia Hanspope aliwaambia waandishi wa habari jana baada ya kukutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuwa nchi hizo...



Asha Mandela: Mwanamke mwenye rasta ndefu zaidi duniani, ni za futi 55

Pamoja na kuonywa na madaktari kuwa urefu wa nywele zake unaweza kumsababishia tatizo la kupooza, Asha Mandela amesema hawezi kuzikata. Mama huyo mwenye mtoto mmoja aishiye Atlanta, Georgia amesema: Nywele zangu zimekuwa sehemu yangu. Ni maisha yangu. Sitozikata kamwe. Kuzikata itakuwa ni ...



Sikiliza na Download ngoma ya dogo scope- MALAIKA

10 Facts About Boko Haram

This terrorist group jumped to the forefront of the battle against Islamist terrorists in North Africa, when it kidnapped a French family from Cameroon. But who is this group? How did it start? And what role did Nigeria’s faction fighting have in its emergence? Here are 10 facts...