NAY MITEGO AZIDI KUPASUA ANGA LA MZIKI
Msanii mtata wa muziki wa kizazi kipya
Nay wa Mitego amefanikiwa kuuutangaza mziki wake ndani na nje ya nchi hii ni
baada ya kuchaguliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo za mziki nchini Kenya . Nay
ameingia katika kategori mbili katika tuzo za Nzumali nchini Kenya, ameingia
katika kategori ya msanii bora wa mwaka wa afrika mashariki na msanii bora wa
kiume kutoka Tanzania na ‘’hit song’’ mziki gani akishirikiana barabara na
diamond
Akizungumza na vyombo vya habari Nay amewashukuru
mashabiki wake wa nchini Tanzania na Kenya kwani wao ndio chachu ya yeyekufanikiwa
katika mziki.
“Nawashukuru sana mashabiki wangu kwa
sapoti yenu bila nyie mimi nisingekuwa hapa. Tuombe mungu tuchukue tuzo zote
mbili ili tanzainia ionekane iko katika orodha ya nchi zenye wanamziki bora’’
alisema nay”
Tuzo hizo zitatolewa novemba 23 nchini
humo ambapo anatarajia kushiriki huku akiwa na matumaini makubwa ya kuibuka mshindi
You may also Like

PICHA: P. DIDDY AKIWA AMEPOZI NA WATOTO WAKE SITA...

JINSI YA KUTAMBUA FURSA NA KUWEZA KUANZISHA BIASHARA YAKO BI...

KUHUSIANA NA MIRATHI YA MAREHEMU KANUMBA, BABA YAKE AMEDAI P...

LIST OF 10 MOST DANGEROUS COUNTRIES IN 2013...

WANAWAKE NCHINI SAUDI ARABIA WAMEPANGA KUANDAMANA ILI WAPATE...
Mechi ya Wahariri na Klabu ya Waandishi Iringa sasa rasmi...
Followers
Tags 2
Popular Posts
-
Vijana wa Kamishina wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova kwa kushirikiana na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) wamefani...
0 comments: