SIR ALEX FERGUSON AVUNJA YA MAUZO YA KITABU CHAKE

Kitabu cha Sir Alex Ferguson kimeweka rekodi ya kuwa kitabu kilichouza kwa haraka zaidi ndani ya Uingereza kikiuza nakala 115,547 katika siku chache za mauzo. (HM) Kwa mujibu wa taarifa kutoka The Bookseller, kitabu hicho cha mocha wa zamani wa Manchester United kimevunja rekodi ya Delia Smith, ambaye...
HOMA YA PAMBANO LA WATANI WA JADI WAJI: Yanga: Tutaipiga Simba 3-0 J`Pili

KIKOSI CHA YANGA Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga wamesema wamejipanga kuhakikisha wanaibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakaopigwa keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari baada...
NASRI: RIBERY ANASTAHILI KUWA MCHEZAJI BORA WA DUNIA

Franck Ribery Upepo wa mchezaji bora wa dunia unadizi kuelekea kwa mchezaji wa kimataifa Franck Ribery baada ya wadau mbalimbali wa soka duniani kumpigia upatu mkali huyo kutoka Bayern Munich. Kiungo wa Manchestar City, Samir Nasri naye amejitokeza na kumfagilia mchezaji mwenzie wa timu ya taifa ya Ufaransa...
FERGUSON ASEMA HATARUDI ULINGONI.

Kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson anasisitiza kwamba hatazingatia kurejea katika shughuli za ukocha wa kandanda. Manchester United hivi sasa wanashikilia nafasi ya 12 katika Ligi Kuu ya England chini ya uongozi wa David Moyes, aliyeshikilia nafasi hiyo baada ya Ferguson kustaafu mwishoni mwa msimu...
GLAZERS AKIRI KUCHELEWA KWA MOYES KUNASABABISHA MATOKEO MABAYA MAN UNITED, AAHDI KUMPA SAPOTI YA NGUVU KATIKA USAJILI WA JANUARI

Majanga: David Moyes ameanza vibaya Manchester United WANATAMBUA kwamba klabu ilitakiwa kumnunua Moyes kabla ya mkataba wake na Everton kuisha – iliapate muda wakutosha kufanya usajili wakati wa kiangazi, badala ya kusubiri mpaka Julai 1, siku aliyotakiwa kuanza kazi Old Trafford. Klabu sasa hivi imepania kumpa msaada wote...
MANCINI KWENDA UTURUKI

Kocha wa zamani wa Manchester City ,Roberto Mancini anazungumza na mabingwa wa Uturuki Galatasaray kuhusu nafasi iliyo wazi ya kocha wa klabu hiyo.Klabu hiyo ya mjini Istanbul ilithibitisha katika mtandao wa Twitter kwamba Mancini amekutana na wakurugenzi wa klabu hiyo na kupigwa picha na mkurugenzi mkuu , Lutfi...
Followers
Tags 2
Popular Posts
-
New AUDIO | Geez Mabovu - Story | Download Sikiliza & Download Nyimbo ya Marehemu GEEZ MABOVU akiwa amemshirikisha GALATONE
-
Dowload na Sikiliza ngoma mpya ya Mr Blue- Pesa