MAADILI YANAZIDI KUPOROMIOKA, AGESS APIGA TENA PICHA ZA UTUPU NA KUZIACHIA MTANDAONI

SIKU chache baada ya kutoka lupango kwa msala wa madawa ya kulevya, ‘video queen grade one’ Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametupia picha za utupu mtandaoni.Masogange na mwenzake, Melisa Edward walikamatwa nchini Afrika Kusini Julai 5, mwaka huu wakidhaniwa kuwa na madawa haramu ya kulevya na baadaye mahakama kuu...
JE? UNAHISI MPENZI WAKO ANAKUSALITI? ZIJUE SABABU NA TIBA YA USALITI KATIKA MAPENZI

Unahisi mwenzi wako siyo mwaminifu? Kwa jumla ni kwamba, kuna watu wengi wanaoonekana wazi kuwa siyo waaminifu. Wengine ukiambiwa huyu ameoa au kuolewa inakupa wakati mgumu kuamini kwa namna anavyoendelea kufanya mambo ya ngono na watu wengine. Usaliti ni tabia inayokera mno. Ukisikia mwenzi wako amesaliti, ni wazi...
HATA KAMA UMZURI, BILA UTUNDU FARAGHA HUNA NYIMBO!

Mapenzi yana kanuni zake, kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha uliyotarajia. Unapotokea kumpenda mtu, hiyo ni hatua ya kwanza lakini omba sana upate ile bahati ya kumpenda mtu ambaye naye anakupenda kwa dhati. Kwa bahati mbaya ukitokea kumzimikia mtu ambaye wala hana hata chembe za penzi kwako, utaumia...
KINACHOMFANYA MWANAUME AKOROME NA KULALA BAADA YA TENDO LA NDOA NI MAUMBILE NA SIYO HIARI YAKE

Jambo hili huwaacha wanawake wakiwa wamechanganyikiwa na kujiuliza maswali chungu mzima kama kuna mahali wamekosea au hawajawavutia wapenzi wao, pale wenzi wao wanapogeukia upande wa pili na kushikwa na usingizi punde tu baada ya kumaliza tendo la kujamiiana.Lakini utafiti uliofanywa hivi na wanasayansi unawapa wanaume ahuweni katika kuepuka...
MAHABA: MAMBO 5 YA KUEPUKA MARA TU UNAPOCHUMBIWA

Kuna mambo kadhaa ambayo msichana anatakiwa kuwa makini nayo katika kuhakikisha uchumba wako unadumu na kufikia hatua ya kuolewa na kwenda kuanza maisha mapya.Yapo mengi lakini nitagusia matano ambayo kwa utafiti wangu ndiyoyamekuwa yakiwafanya wengi wakimbiwe na wachumba wao na kuachwa wakilia.Mazoea na wanaumeWapo ambao wamejikuta wakiachwa solemba...
DALILI ZA MWANAMKE ANAYETOKA NJE YA NDOA

Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo kwa mwanaume. Hii inatokana na ukweli kwamba, hisia zinakuwa na nafasi kubwa sana kwa mwanamke, kwani mwanamke huishi kwa hisia zaidi kuliko mwanaume. Bado nasisitiza kwamba, haipaswi...
Followers
Tags 2
Popular Posts
-
New AUDIO | Geez Mabovu - Story | Download Sikiliza & Download Nyimbo ya Marehemu GEEZ MABOVU akiwa amemshirikisha GALATONE