Bomu lauwa wengi Beledweyne, Somalia
Mshambuliaji wa kujitolea mhanga amejiripua kwenye mkahawa uliojaa watu katika mji wa Beledweyne, katikati mwa Somalia.
Watu kama 16 wameuwawa na zaidi ya 30 kujeruhiwa.Kundi la wapiganaji wa Kiislamu, Al Shabab, limesema limefanya shambulio hilo.
Serikali ya Somalia, ikisaidiwa na kikosi cha wanajeshi kutoka nchi kadha za Afrika, inapigana na Al Shabab ili kuidhibiti nchi.
Al Shabab imesema iliwalenga wanajeshi kutoka Ethiopia na Djibouti walioko Beledweyne, lakini walioshuhudia tukio hilo wameiambia BBC kwamba waliouwawa wengi walikuwa raia.
You may also Like

Mabaki ya Hayati Mobutu kuzikwa DR Congo...

Udakuzi: Obama azidi kubanwa na Merkel...

JE WANAJESHI WA KENYA WALIPORA WESTGA...

DUNIA INA MAMBO!! SERIKALI YA ANGOLA YAZUIA DINI YA KIISLAM ...

WAZIRI MKUU WA UKRAINE JULIA TYMOSHENKO AANZA MGOMO WA KUTOK...

KIONGOZI WA NGAZI YA JUU WA AL-SHABAAB AUAWA SOMALIA...
0 comments: