New Music Video: Desire Luzinda aachia video mpya ‘Ekitone’
Muimbaji wa Uganda Desire Luzinda ameachia video mpya ya
wimbo wake uitwao ‘Ekitone’, ikiwa ni ishara sasa amerejea katika maisha yake
ya kawaida na kazi zake za muziki zinaendelea baada ya kutikiswa na kashfa ya
kuvuja kwa picha zake za utupu hivi karibuni.
Luzinda ameshare video hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook
na kuandika “EKITONE video finally out. Hope its gonna make u scream.” Itazame
hapa.
0 comments: