New Music Video: Lil Wayne ft. Drake – Grindin

 
Lil Wayne ameachia video mpya ya ‘Grindin’ aliomshirikisha Drake, kutoka kwenye album yake mpya ‘Tha Carter V’. Video hii imeongozwa na director aitwaye DJ Scoob Doo, na ina baadhi ya picha za show za tour waliyofanya pamoja Drake na Lil Wayne.

0 comments:

Post a Comment

Recent Posts