Home
» Enterteinment
» Diamond atoa siri ya mafanikio yake, ‘Asikudanganye mtu eti ni kipaji tu, hapana!…’
Diamond atoa siri ya mafanikio yake, ‘Asikudanganye mtu eti ni kipaji tu, hapana!…’
Diamond Platnumz ni msanii mwenye mafanikio makubwa sana kwa
sasa, lakini yawezekana kuna wengi hawajawahi kusikia ni wapi alikotokea au ni
ugumu gani alioupata kabla hajatoka.
Kupitia Instagram Nasib Abdul ameshare kidogo siri ya
mafanikio hayo ambayo amesema hayakuja kirahisi.
“Asikudanganye mtu eti ni kipaji tu, Hapana! ni juhudi,
Heshima na kumtanguliza mwenyezi mungu mbele…. kumbuka hata mimi kabla ya mwaka
2009 nilisha toa zaidi ya Nyimbo 8, lakini zoke zikafeli… ila sikuzote
nilijikaza na kujifunza kupitia makosa na hadi leo kufikia Hapa… #USICHOKE
#Kwani_Ye_Aliwezaje”
0 comments: