Home
» Enterteinment
» Wimbo wa msanii mwenye asili ya Tz, Dezert Eagle aliomshirikisha Diamond waingia kwenye Tuzo za Australia
Wimbo wa msanii mwenye asili ya Tz, Dezert Eagle aliomshirikisha Diamond waingia kwenye Tuzo za Australia
Msanii mwenye asili ya Tanzania na Congo Dezert Eagle aishiye nchini Australia ameingia kwenye Tuzo za ‘Afro Austrian Music & Movie Awards’ (AAMMA) za Australia, kwenye kipengele cha ‘Best Collaboration’ kupitia wimbo aliomshirikisha staa wa bongo Diamond Platnumz “everyday”.
TAZAMA WIMBO HUO HAPA CHINI
0 comments: