Home
» Enterteinment
» DIAMOND PLATNUMZ KUTUMBUIZA TEXAS, MAREKANI MWEZI UJAO (MAY) DIAMOND PLATNUMZ KUTUMBUIZA TEXAS, MAREKANI MWEZI UJAO (MAY)
DIAMOND PLATNUMZ KUTUMBUIZA TEXAS, MAREKANI MWEZI UJAO (MAY) DIAMOND PLATNUMZ KUTUMBUIZA TEXAS, MAREKANI MWEZI UJAO (MAY)
Akiwa bado yupo Nigeria kwa sasa hit maker wa ‘Number 1’,
Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz anasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa nchini
Marekani, ambako anatarajiwa kutumbuiza mwezi ujao katika jimbo la Texas.
Diamond anatarajiwa kutua Marekani na crew yake ya WCB
kwaajili ya shughuli moja tu ya kuwachezesha ngololo, show itakayofanyika
katika jiji la Houston, Texas (May 25) katika ukumbi wa AYVA Center.
Show hiyo imeandaliwa kwa ushirikiano wa DMK Global, J &
P Entertainment na Safari Entertainment, kama inayoonekana katika tangazo la
show.
July 26 mwaka huu Platnumz anatarajia kurudi tena Marekani
kuungana na wasanii wakubwa kama T-Pain, 2 Face, Davido, Fally Ipupa, Flavour,
Wyre na wengine katika AFRIMMA Awards 2014.
0 comments: