Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waumini
kushiriki Swala ya Sikukuu ya Idd El Haj na Waumini wa dini ya Kiislam
katika Msikiti wa Anwaar, uliopo Msasani jijini Dar es Salaam, leo
asubuhi.
|
Sehemu ya Waumini wa dini ya
Kiislamu waliohudhuria katika swala ya Sikukuu ya Idd El Haj na Mhe.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, leo asubuhi katika Msikiti wa Anwaar, uliopo Msasani jijini Dar
es Salaam.
| | | |
|
0 comments: