AMINI AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSU PENZI NA LINAH
Mwimbaji kutoka THT Amini ameelezea pengo liloachwa moyoni mwake na aliyekuwa mpenzi wake ‘Linah’, pengo ambalo kwa mujibu wake aliyechukua nafasi hiyo ameshindwa kuliziba. Mwimbaji huyo ameyatoa yake ya moyoni kupitia Instagram na kuonesha kuwa bado anamhitaji Linah kwa kuwa ndiye mtu aliyekuwa anampa furaha na kwamba hakuwahi kumkosea. “Wakati kama huu ukifka uwa namuwaza sana uyu wa pembeni kiukweli ni mtu ambea aliweza kunipa furaha akuwahi nikosea alifnya ninachokitka ila nilipo sasa mmmmmh boko miss uuuuu linah kwani nini si nini tu.”
0 comments: