Home
» Habari za Kitaifa
» ANGALIA PICHA TUKIO ZIMA LA KUMUAGA BABA YAKE WEMA SEPETU MAREHEMU MZEE ISAC SEPETU
ANGALIA PICHA TUKIO ZIMA LA KUMUAGA BABA YAKE WEMA SEPETU MAREHEMU MZEE ISAC SEPETU
Wema Sepetu akiwa na simanzi nzito |
Mtoto wa marehemu akimsalimia mama baada ya kufika msibani hapo leo mchana |
Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu enzi za uhai wake |
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu likibebwa na kupelekwa ndani ya nyumba |
Mh. Jaji Warioba na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernard Membe wakibadilishana mawazo kwenye msiba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo October 29,2013 |
Baadhi ya viongozi waliofika msibani kwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu |
Mtoto mkubwa wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu, Aman Isaac Sepetu akizungumza jambo na mwandishi wa habari, Mkwaiawa Kuhenga leo October 29, 2013 nyumbani kwa Marehemu |
Mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu ukifikishwa nyumbani kwake |
Wema Sepetu akiwa na simanzi nzito |
Mama Gertrude Mongella akisaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu nyumbani kwake Sinza Mori leo October 29, 20 |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe akisaini kitabu cha maombolezo leo October 29, 2013 nyumbani kwa marehemu Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu |
Mh. Jaji Warioba akisaini kitabu cha Maombolezo leo mchana nyumbani kwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu jijini Dar es |
0 comments: