NASRI: RIBERY ANASTAHILI KUWA MCHEZAJI BORA WA DUNIA
![]() |
Franck Ribery |
Kiungo wa Manchestar City, Samir Nasri naye amejitokeza na kumfagilia mchezaji mwenzie wa timu ya taifa ya Ufaransa kuwa anastaili kuwa mhezaji bora wa dunia.
"ribery alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa ulaya hivyo nina matuamini makubwa kuwa atashinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia.
Ribery amekuwa na wakati mgumu katika timu yake ya taifa kutokana na kutokuwa na mchango mkubwa katika timu yake ya taifa ukilinganisha na klabu yake ya kulipwa ambapo amekuwa lulu na kutegemewa sana.
Taji la mchezaji bora wa dunia linashikiliwa na Lionel Messi ambaye ameshinda taji hilo mara tatu mfulullizo
You may also Like

SIR ALEX FERGUSON AVUNJA YA MAUZO YA KITABU CHAKE...

SERIKALI YA KENYA YASEMA HAINA FEDHA ZA KUANDAA MICHUANO YA ...

CHEZEA MBEYA CITY: WAMETENGENEZA WIMBO WAO, SIKILIZA NA DOWN...

The World Do Not Appreciate Me Because I Am African - Yaya T...

PICHA: CRISTIANO RONALDO ATENGENEZA MAKUMBUSHO YAKE...

BALE: RONALDO ANASTAILI KUWA MCHEZAJI BORA WA DUNIA...
Followers
Tags 2
Popular Posts
-
Vijana wa Kamishina wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova kwa kushirikiana na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) wamefani...
0 comments: