Home
» Habari za Kitaifa
» TAZAMA PICHA NA VIDEO ZA YULE MGANGA ALIYEKUTWA NA KIGANJA CHA MTU KIKIVUJA DAMU
TAZAMA PICHA NA VIDEO ZA YULE MGANGA ALIYEKUTWA NA KIGANJA CHA MTU KIKIVUJA DAMU
![]() |
Watu watatu wakiwemo waganga wawili wa jadi wamekamatwa na polisi katika eneo la Igombe Tx, jijini Mwanza wakiwa na kiganja cha mkono wa kulia unaoaminika kuwa wa binadamu. |
0 comments: