Home
» Habari za Kitaifa
» ANGALIA PICHA TUKIO ZIMA LA KUMUAGA BABA YAKE WEMA SEPETU MAREHEMU MZEE ISAC SEPETU
ANGALIA PICHA TUKIO ZIMA LA KUMUAGA BABA YAKE WEMA SEPETU MAREHEMU MZEE ISAC SEPETU
| Wema Sepetu akiwa na simanzi nzito |
| Mtoto wa marehemu akimsalimia mama baada ya kufika msibani hapo leo mchana |
| Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu enzi za uhai wake |
| Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu likibebwa na kupelekwa ndani ya nyumba |
| Mh. Jaji Warioba na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernard Membe wakibadilishana mawazo kwenye msiba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo October 29,2013 |
| Baadhi ya viongozi waliofika msibani kwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu |
| Mtoto mkubwa wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu, Aman Isaac Sepetu akizungumza jambo na mwandishi wa habari, Mkwaiawa Kuhenga leo October 29, 2013 nyumbani kwa Marehemu |
| Mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu ukifikishwa nyumbani kwake |
| Wema Sepetu akiwa na simanzi nzito |
| Mama Gertrude Mongella akisaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu nyumbani kwake Sinza Mori leo October 29, 20 |
| Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe akisaini kitabu cha maombolezo leo October 29, 2013 nyumbani kwa marehemu Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu |
| Mh. Jaji Warioba akisaini kitabu cha Maombolezo leo mchana nyumbani kwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu jijini Dar es |

0 comments: