Diamond kuiachia ‘Ntampata Wapi’ kesho
Diamond Platnumz anatarajia kuachia wimbo wake mpya ‘Ntampata Wapi’ kesho. Wimbo huo ambao huenda ukawa ndio ule aliouonjesha hivi karibuni, utakuwa ni mpya tangu Bum Bum na Mdogo.
Swali ni je! Ataweza kuvunja rekodi ya Mwana FA na Alikiba ya wimbo uliosikilizwa na kupakuliwa zaidi kwenye mtandao wa Mkito?
0 comments: