JAY SEAN AMETANGAZA KUJIONDOA KWENYE LABEL YA CASH MONEY RECORDS.
Hata hivyo, Sean amesema hana tatizo na timu ya Cash Money.
“Bado nina uhusiano mzuri na Slim na Baby [CEOs wa Cash Money],” ameuambia
mtandao wa Billboard.
“Waliamini katika kipaji changu na ushirikiano wetu ulileta
mafanikio makubwa,” alisema.
Hata hivyo msanii huyo alidai kuwa alitaka kupata kitu
kingine.
0 comments: