PICHA: MAANDALIZI YA SHOW YA TUZO ZA MTV MAMA KESHO
Diamond akiwa kwenye jukwaa
|
Wasanii wa muziki na wadau mbalimbali wa muziki wakiwa
wanaendelea kulisubiria tukio la utoaji tuzo za MTV Africa Music Awards ‘MAMA’
nchini Afrika Kusini, wasanii wanaendelea kufanya maandalizi mbalimbli kwajili
ya show hiyo itayofanyika usiku wa kesho na kuonyeshwa live kupitia DStv
Channel 322 na channel nyingine.Tazama picha za maandalizi na matukio
mbalimbali ya wasanii.
Vanessa akifanya interview na Treysongz
|
Tiwasavage
|
Diamond akiwa Mafikizolo
|
Davido akiwa kwa sonara
|
Davido akiwa kwenye maandalizi
|
0 comments: