Home
» Enterteinment
» LUPITA NYONG’O ALIPOKUTANA NA RAIS OBAMA NA MKE WAKE ‘WHITE HOUSE’ YA MAREKANI
LUPITA NYONG’O ALIPOKUTANA NA RAIS OBAMA NA MKE WAKE ‘WHITE HOUSE’ YA MAREKANI
Ni kama mtoto anavyozaliwa na kuanza kutambaa na baadaye
kutembea, ndivyo ilivyo kwa Mkenya/Mmexico Lupita Nyong’o ambaye tumekuwa
tukishuhudia mafanikio yake yakipiga hatua toka alivyoshiriki katika filamu ya
’12 Years A Slave’.
Jumamosi iliyopita Lupita alikuwa miongoni mwa A-list ya
watu maarufu waliopata nafasi ya kutembelea Ikulu ya Marekani katika ‘White
House Correspondents Dinner’.
Hiyo ilikuwa nafasi ya mshindi huyo wa tuzo za Oscar
kukutana na Rais Barack Obama na mke wake Michelle Obama na kupiga picha, pia
inasemekana Lupita na Obama walipata kukienzi Kiswahili katika sehemu ndogo ya
mazungumzo yao.
0 comments: