KUMBUKUMBU YA KANUMBA: LULU ASEMA ‘U STILL LIVE IN ME DADDY’
Leo (April 7) aliyekuwa muigizaji wa Bongo movie marehemu
Steven Kanumba anatimiza miaka miwili tangu afariki dunia. Aliyekuwa mpenzi
wake Elizabeth Michael aka Lulu ameandika ujumbe wa kumkumbuka marehemu
Kanumba.
Hiki ndicho alichokiandika kupitia akaunti yake ya Instagram
(@Officiallulumichael):
Bado siamini Kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala
kukusikia baba…!Ninaamini bdo tupo wote kiroho na Ninaamini zaidi nafsi yako
huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania,inaweza kunichukua miaka na miaka
kukuelezea….u still liv in me daddy and your dearly missed….R.I.P daddy angu
Credit: Bongo5
0 comments: