TAZAMA VIDEO YA WIMBO MPYA YA MCHEZAJI MAARUFU WA BRAZIL "RONALDINHO"

Legendary wa soka kutoka Brazil aliyewahi kuwa mcheza soka wa mwaka wa Fifa mara mbili, Ronaldinho pamoja na yote makubwa aliyoifanyia nchi yake katika medani ya soka, amekionesha kipaji kingine ambacho hakuwahi kukionesha, kwa kuingia booth na kurekodi wimbo.

 Ronaldinho ambaye amewahi kuichezea Barcelona na AC Milan ametoa video ya wimbo alioshirikiana na rapper wa Brazil aitwaye ED City uitwao ‘Vai na fe’ (‘Go in Faith’). Kwa sasa mchezaji huyo yuko na timu ya soka ya Brazil Atletico Mineiro.

                                   

0 comments:

Post a Comment

Recent Posts