MATOKEO DARASA LA SABA 2013 HAYA HAPA!
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza vijana wote wa darasa la saba waliomaliza elimu yao ya msingi mwaka 2013. Nawapongeza wote mliofanya vizuri, bado mna maisha marefu ya elimu mbele yenu, huu ni mwanzo tu. Kwa mliofeli, tumieni nafasi ya kuendeleza vipaji na kazi mzipendazo. Umri wenu unaruhusu.
Kupata matokeo BONYEZA HAPA.
Kupata matokeo BONYEZA HAPA.
0 comments: