HILI NDO DEAL JIPYA ALILOPATA MR.NICE
Kwa Afrika Mashariki ukimzungumzia Mr.Nice Hakuna mtu atakaekuuliza ni nani,huyu ni moja kati ya wanamuziki waliofanikiwa kuiunganisha Afrika Mashariki kwenye muziki mmoja alioupa jina la Takeu Style ambayo ni Tanzania,Kenya na Uganda.
Mr Nice aliyehit sana kipindi cha nyuma kwa aina ya muziki wake,kwa sasa amealikwa kufanya filamu mpya na kampuni ya VAD production iliyopo nchini Denmark inayomilikiwa na mtanzania anayeishi nchini humo aitwae Mr. Babingwa
Katika mwaliko huo Mr. Mr nice alipata nafasi ya kufanya mahojiano na mtangazaji wa Swahili talk radio ya nchini humo.Jina kamili la Movie na idadi ya Movie atakazocheza bado hazijawekwa wazi

0 comments: