Taarifa kuhusu kifo cha Goldie
Goldie & Prezo |
Mmoja wa wasaidizi wake amethibitisha kifo cha Goldie
kupitia page ya twitter ya Goldi kwa kusema ni kweli msanii huyo amefariki
dunia usiku wa february 14 2013 muda mfupi tu baada ya kuwasili Lagos Nigeria,
hali yake ya afyailibadilika ghafla ikabidi apelekwe hospitali ambako
hakuchukua muda mrefu akafariki dunia.
Taarifa nyingine nilizozipata kutoka kwa mtu wake wa
karibu wanaeshirikiana kimuziki zimeeleza kwamba mpenzi wake Goldie ambae ni
Msanii wa Kenya CMB Prezzo ametua Nigeria usiku huu muda mfupi uliopita kwa
ajili ya kuendeleza mipango aliyokua nayo na Goldie ikiwemo
kutengeneza show ya TV.
kutengeneza show ya TV.
Prezzo alitakiwa kushiriki katika TV show ambayo yeye na
Goldie wangekua moja ya wahusika wakuu ambapo mpango ulikua baada ya mwezi
mmoja Goldie na Prezzo wangekuja Tanzania, Uganda na Kenya kwa ajili ya
kujitangaza na kuipromote single mpya ya Goldie ya ‘Skibobo’
aliyofanya na Ay.
aliyofanya na Ay.
Goldie |
0 comments: