Msanii mwingine afariki nchini Nigeria
Justus Esiri |
Muigizaji huyo amezaliwa mwaka 1942 katika jimbo la Delta. Amesoma na alianza kuigiza nchini ujerumani kabla ya kurudi nchini Nigeria miaka 1970. Esiri alipata umaarufu alipoigiza filamu katika filamu inayoitwa village headmaster ambapo aliigiza kama mkuu wa shule miaka ya sabini. Kuanzia hapo ameigiza zaidi ya filamu miamoja kama Home in Exile, Kingdom of Men, Most Wanted Bachelor na nyinginezo
0 comments: