P-Square waondokewa na baba yao mzazi Mr. Okoye
Miaka miwili baada ya kumpoteza mama yao mzazi, mapacha wa
kundi la P-Square la Nigeria Peter na Paul pamoja na kaka yao Jude Okoye
wamepatwa na msiba mwingine. Wameondokewa na baba yao Mr Okoye aliyefariki
dunia Jumatatu Nov.24.
Vyanzo vya karibu vimesema kuwa Mr. Okoye alidondoka akiwa
anaelekea hospitali huko jijini Lagos. Inadaiwa kuwa siku chache kabla
hajapatwa mauti alifanyiwa upasuaji wa goti na alikuwa akiendelea vizuri.
You may also Like

Picha ya Diamond na Zari wakinyonyana ndimi yasambaa mtandao...

Diamond kuiachia ‘Ntampata Wapi’ kesho...

Sitti Mtemvu bado kiti cha moto, mamlaka zajipanga kumpeleka...

Jose Chameleone: Sijamuomba collabo Diamond, mimi si msanii ...

CHIDI BENZ ASIMULIA STORY NZIMA JINSI ILIVYOKUWA HADI KUKAMA...

JAY SEAN AMETANGAZA KUJIONDOA KWENYE LABEL YA CASH MONEY REC...
0 comments: