Facebook kuja na mtandao mpya ‘Facebook at Work’
Facebook inaanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya wafanyakazi kuwasiliana na kushirikiana kuhusiana na masuala ya kazi.
Facebook at Work utaonekana vile vile kama Facebook ya kawaida, lakini watumiaji watakuwa na uwezo wa kutengenesha akaunti zao binafsi.Watumiaji watakuwa na uwezo wa kuchat na wenzao, kutengeneza mtandao wa kazi na kushare nyaraka mbalimbali.
Mtandao huo ambao tayari unatumika kwenye ofisi za Facebook, utakuwa mpinzani kwa huduma zingine kama Google Drive, Microsoft Office na LinkedIn.
You may also Like

MBINU ZA KUSOMA NA KUFAULU MITIHANI DARASANI....

Jitibu kuzuia tatizo la kuwahi kufika kileleni Ukiwa Nyumban...

KAROTI KINGA DHIDI YA SARATANI NA UGONJWA WA MOYO...

UNATAKA KUFANIKIWA? HAKUNA NJIA YA MKATO KATIKA MAFANIKIO...

KWANINI HUKUITWA BAADA YA USAILI? YAJUE MAKOSA YANAYOFANYWA ...

NJIA ZA KUPUNGUZA UNENE WA MWILI WAKO...
0 comments: