JAY SEAN AMETANGAZA KUJIONDOA KWENYE LABEL YA CASH MONEY RECORDS.
Hata hivyo, Sean amesema hana tatizo na timu ya Cash Money.
“Bado nina uhusiano mzuri na Slim na Baby [CEOs wa Cash Money],” ameuambia
mtandao wa Billboard.
“Waliamini katika kipaji changu na ushirikiano wetu ulileta
mafanikio makubwa,” alisema.
Hata hivyo msanii huyo alidai kuwa alitaka kupata kitu
kingine.
You may also Like
Followers
Tags 2
Popular Posts
-
Mitandao mbali mbali nchini Kenya imeanza kuhoji kitendo cha Akon alivyokuja kupiga show huko Kenya kukutana na Kijana mmoja mdogo wa miak...


0 comments: