P SQUARE KUWASHA MOTO JUKWAA MOJA NA LADY JAY DEE PAMOJA PROFFESSOR JAY
Tarehe 23 pale Leaders Club patakuwa hapatoshi baada ya EastAfrica TV kutangaza kwamba wakali wawili walioimba joto hasira watapiga show pamoja na P Square. Kupitia ukurasa wa facebook wa EATV walisema “ HABARI MPASUKO : Lady Jay D, Prof J kupafomu na p-square yani zile JOTO HASIRA zikikutana na ALINGO lazima PERSONALLY utasema CHOP MY MONEY hadi YAHAYA apatikane maana tupo KAMILI GADO !!! Wale wakali wa muziki hapa Bongo toka enzi hizo, mwanadada Lady Jay Dee ( ANACONDA) na Professor Jay watapafomu jukwaa moja na P- SQUARE siku ya Novemba 23 pale Leaders Club. Endelea kusikiliza East Africa Radio kwa habari zaidi pia kumbuka Zimebaki siku 2 tu za kununua tiketi yako kwa M-PESA kwa elfu 30!!”






You may also Like

Picha ya Diamond na Zari wakinyonyana ndimi yasambaa mtandao...

Diamond kuiachia ‘Ntampata Wapi’ kesho...

Sitti Mtemvu bado kiti cha moto, mamlaka zajipanga kumpeleka...

Jose Chameleone: Sijamuomba collabo Diamond, mimi si msanii ...

CHIDI BENZ ASIMULIA STORY NZIMA JINSI ILIVYOKUWA HADI KUKAMA...

JAY SEAN AMETANGAZA KUJIONDOA KWENYE LABEL YA CASH MONEY REC...
Followers
Tags 2
Popular Posts
-
New AUDIO | Geez Mabovu - Story | Download Sikiliza & Download Nyimbo ya Marehemu GEEZ MABOVU akiwa amemshirikisha GALATONE
0 comments: