Picha ya Diamond na Zari wakinyonyana ndimi yasambaa mtandaoni

Zari The boss lady
 Baada ya maneno kusemwa juu ya staa wa ‘Number 1’ Diamond Platnumz na binti mrembo wa Uganda, Zari ‘the boss lady’ kuwa huenda wakawa na kitu kinaendelea zaidi ya kazi, picha ya wawili hao wakila ‘denda’ imesambaa mtandaoni

0 comments:

Post a Comment

Recent Posts