P-Square waondokewa na baba yao mzazi Mr. Okoye
Miaka miwili baada ya kumpoteza mama yao mzazi, mapacha wa
kundi la P-Square la Nigeria Peter na Paul pamoja na kaka yao Jude Okoye
wamepatwa na msiba mwingine. Wameondokewa na baba yao Mr Okoye aliyefariki
dunia Jumatatu Nov.24.
Vyanzo vya karibu vimesema kuwa Mr. Okoye alidondoka akiwa
anaelekea hospitali huko jijini Lagos. Inadaiwa kuwa siku chache kabla
hajapatwa mauti alifanyiwa upasuaji wa goti na alikuwa akiendelea vizuri.
You may also Like
Followers
Tags 2
Popular Posts
-
He Yide (5) ambaye amepewa jina la utani la Duoduo mkazi wa Nanjing China ameweka rekodi ya kuwa rubani mdogo zaidi duniani na sijui kama ...
-
Je utawezaje kutambua fursa na kuweza kuanzisha biashara katika mazingira yako? Bila shaka hili swali watu wengi wanaotamani kumiliki bias...
0 comments: