Linex ajibu tuhuma za kutumia dawa za kulevya....@marcstana
Kwa mara ya kwanza Linex amejibu tuhuma zinazomkabili kuhusu utumiaji wake wa madawa ya kulevya aina ya “Bangi”
Linex
ambae amekuwa akituhumiwa kwa muda mrefu kuhusu matumizi ya Bangi,
lakini sasa mwenyewe amekanusha kuwa hajawahi kuvuta Bangi kabisa.
Amesema, nanukuu,
“Kwa
mala ya kwanza Leo nimegoma kujibu swali ambalo nimekua nikiulizwa Sana
na vyombo vya habari ma swali lenyewe nikuhusi Mimi kujihusisha na
matumizi ya uvutaji Bangi Leo nawabia watanzania na wasio watanzania
Mimi sijawahi kua mvuta Bangi maisha yangu yote na Kama nna Vuta Mungu
ananiona na ningekua mvuta bangi nisingekua na sababu ya kukataa wavuta
bangi hamuwasemi hamuwaulizi swali hilo Mimi nisievuta ndo kila siku
naulizwa hlo swali naridia tena Sijawahi kua mvuta Bangi sina ratiba ya
kutumia dawa za aina yoyote ya kulevya Msinijudge kwa muonekano wangu
hivi ndivyo nilivyo na siwezi kua MTU mwingine #Sunday Mangu”
0 comments: