Home
» Enterteinment
» Sauti Sol waibuka ‘Best African Act’ wa MTV EMA, sasa kuwania ‘Worldwide Act’
Sauti Sol waibuka ‘Best African Act’ wa MTV EMA, sasa kuwania ‘Worldwide Act’
Kundi la Sauti Sol la Kenya limewabwaga Diamond, Davido na
wasanii wengine wawili wa Afrika katika kipengele cha ‘Best African Act’ cha
tuzo za MTV EMA.
Hata hivyo huo sio mwisho kwakuwa Sauti Sol sasa watahitaji
kura za bara zima la Afrika kuwania kipengele cha ‘Worldwide Act’ Kuanzia leo,
October 23, hadi 29 October wasanii waliovuka kwenye ngazi ya kanda wataingia
kwenye hatua ya pili ya kuwania kipengele hicho kinachowaniwa na kanda za
Africa/India/Middle East
Msanii mwenye kura nyingi katika vipengele hivi vya kanda
atakuwa nominee wa kanda hiyo. Hadi sasa wanaowania kipengele hicho ni:
0 comments: