Dr Dre aongoza tena ‘ 2014 Hip Hop Cash Kings’, akifuatiwa na Jay Z, Diddy na Drake


Jarida la Forbes limetoa orodha yake ya wasanii wa Hip Hop wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani kwa mwaka huu, ‘The 2014 Hip-Hop Cash Kings’ na Dr Dre amekamata nafasi ya kwanza kwa mara nyingine
Pamoja na kwamba Dre hajatoa album wala kufanya tour yoyote kwa miezi 12 iliyopita, lakini dili la Apple kuinunua kampuni yake ya Beats Electronics kwa $3 billion ndio imemfanya atengeneze fedha nyingi zaidi.
Dre Dre amepewa ufalme huo kwa kutengeneza $620 million kupitia biashara zake, na kumfanya arudi kwenye nafasi ya kwanza aliyoikamata mwaka 2012 kabla ya kuenguliwa na Diddy mwaka jana huku yeye akijikuta kwenye nafasi ya tatu.
 
Jay Z na P.Diddy wamefungana kwenye nafasi ya pili kwa kutengeneza $60 million kila mmoja.

 
Drake amekamata nafasi inayofuata kwa kutengeneza $33 million, zilizotokana na album yake ya ‘Nothing Was The Same’, endorsement deal yake na Nike pamoja na tour.

Orodha kamili:

1. Dr. Dre: $620 million
 2. Jay Z: $60 million
 2. Diddy: $60 million
 4. Drake: $33 million
 5. Macklemore & Ryan Lewis: $32 million
 6. Kanye West: $30 million
 7. Birdman: $24 million
 8. Lil Wayne: $23 million
 9. Pharrell: $22 million
 10. Eminem: $18 million
 11. Nicki Minaj: $14 million
 12. Wiz khalifa: $13 million
 13. Pitbull: $12 million
 14. Snoop Dogg: $10 million
 15. Kendrick Lamar: $9 million
 16. Ludacris: $8 million
 16. Tech N9ne: $8 million
 16. Swizz Beatz: $8 million
 16. 50 Cent: $8 million
 20. Rick Ross: $7 million
 20. J. Cole: $7 million
 20. DJ Khaled: $7 million
 20. Lil Jon: $7 million
 20. Mac Miller: $7 million

0 comments:

Post a Comment

Recent Posts