TUMOGHELE YA IZZO B YAANZA KUCHEZWA CHANEL O
Harakati za kuuvusha muziki wa Tanzania nje ya mipaka ya Tanzania ni
pamoja na kupata airtime kwenye vituo vya kimataifa ambapo Channel O ni
kituo mojawapo kati ya vituo vinavyoaminika kwa kusambaza upendo na
kuonyesha wanachofanya Waafrika.
Imekua ni sherehe au furaha kubwa sana pale Mtanzania anapopata
nafasi ya video yake kuchezwa Channel O ambapo baada ya Weusi na yao ya
‘nje ya box’ sasa ni staa kutoka 87.8 Mbeya ndio anaichukua headline.
TAZAMA VIDEO HIYO HAPA CHINI
0 comments: