Msanii Mkongwe wa Muziki wa Dansi, Muhidin Gurumo
(aliyekuwa muimbaji wa bandi ya 'Msondo Ngoma' kabla ya kustaafu muziki) amefariki dunia leo
saa nane mchana alipokuwa amelazwa katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.

0 comments: