Home » Unlabelled » JANUARY MAKAMBA NA SUGU WASHIRIKI KWENYE WIMBO WA KUSISITIZA KUTAMBULIWA KWA SANAA KWENYE KATIBA MPYA ULIOFANYWA NA RAPPERS 13
JANUARY MAKAMBA NA SUGU WASHIRIKI KWENYE WIMBO WA KUSISITIZA KUTAMBULIWA KWA SANAA KWENYE KATIBA MPYA ULIOFANYWA NA RAPPERS 13
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January
Makamba pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu watasikika
kwenye wimbo uitwao ‘Haki’ uliofanywa na wasanii 13 wa Hip Hip. Katika wimbo
huo, January Makamba amefanya intro na Sugu kufunga na outro.
Wasanii walioshiriki kwenye Haki ni pamoja na Quick Rocker,
Mchizi Mox, Godzilla, Kala Jeremiah, G-Nako na Nikki wa Pili. Wengine ni Fid Q,
Joh Makini, Gosby, Profesa Jay, Mwana FA, Danny Msimamo na Kalapina.
0 comments: