2014 TAZAMA MAGOLI CHELSEA 3-1 MAN UNITED

Samuel Eto’o ndio alizifunga goli zote tatu za Chelsea kwenye mechi na Manchester United January 19 2014 ambapo wakali wa Moyes walifunga moja tu. Kuna uwezekano hukupata nafasi ya kutazama mechi yenyewe ndio maana nimeishusha hii video ya magoli hapa chini kwa ajili yako mtu wangu…………. usisite pia kujiunga na nasi facebook na twitter ili uwe karibu na kila stori inayonifikia mtu wangu.
CHEKI VIDEO HAPA CHINI...

0 comments:

Post a Comment

Recent Posts