HATIMAYE VIDEO YA DIAMOND YAANZA KURUSHWA KWENYE CHANNEL ZA KIMATAIFA
Lilikuwa swali kwamba inakuaje video iliyotumia ya gharama kubwa zaidi ya msanii wa bongoflava haipati airtime kwenye vituo vya kimataifa wakati video nyingine za wasanii wa muziki huu huu wanafanikiwa kupata airtime. Jibu la swali hilo hatimaye limepatikana baada ya video ya My number one kuanza kuchezwa kwenye vituo maarufu duniani. Diamond kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii aliwajulisha mashabiki wake kwamba wanaweza pia kuiona video ya My number one kwenye channel ya Trace na Sound City. Kupitia Trace video hiyo imetambulishwa kama video mpya na kwenye Sound city imerushwa kwenye trending video request na hizi ni picha kutoka kwenye screen wakati video hiyo ikipata airtime kwa mara ya kwanza kwenye vituo hivi






You may also Like

P-Square waondokewa na baba yao mzazi Mr. Okoye...

Picha ya Diamond na Zari wakinyonyana ndimi yasambaa mtandao...

Diamond kuiachia ‘Ntampata Wapi’ kesho...

Sitti Mtemvu bado kiti cha moto, mamlaka zajipanga kumpeleka...

Jose Chameleone: Sijamuomba collabo Diamond, mimi si msanii ...

CHIDI BENZ ASIMULIA STORY NZIMA JINSI ILIVYOKUWA HADI KUKAMA...
Followers
Tags 2
Popular Posts
-
New AUDIO | Geez Mabovu - Story | Download Sikiliza & Download Nyimbo ya Marehemu GEEZ MABOVU akiwa amemshirikisha GALATONE
0 comments: