DRAKE NA BABA YAKE NDANI YA NGOMA MOJA, WANATARAJIA KUIACHIA HIVI KARIBUNI
Drake ameshafanya collabo na wasanii kama Jay Z,Lil Wayne ,Rick Ross na wengine wengi. Hivi sasa amegeukia familia yake na kufanya collabo na baba yake.Dennis Graham ambaye ndiyo baba mzazi wa msanii Drake amewahi kuwa mpiga ngoma wa bendi ya rock hapo zamani na pia alimfundisha Drake kupiga Piano akiwa mtoto.
Dennis Graham alikutana na camera za TMZ na kuulizwa kama huwa anashiriki kwenye kuandaa nyimbo za mwanae ambaye anafanya vizuri hivi sasa. Mzee kijana huyo Dennis Graham alijibu straight kwamba ndiyo anashiriki na wamesha rekodi wimbo pamoja lakini bado haujatoka.Imagine collabo yao itakuaje baba na mwanae kwenye beat moja.Angalia video hapa umsikie mwenyewe akiongea kwa kujiamini.

0 comments: