Home
» Enterteinment
» AKON NDANI YA TUHUMA NZITO KENYA BAADA YA KUDANGANYA WAKENYA ALIVYOFANYA SHOW HUKO KENYA
AKON NDANI YA TUHUMA NZITO KENYA BAADA YA KUDANGANYA WAKENYA ALIVYOFANYA SHOW HUKO KENYA
Mitandao mbali mbali nchini Kenya imeanza kuhoji kitendo cha Akon alivyokuja kupiga show huko Kenya kukutana na Kijana mmoja mdogo wa miaka 14 ambae ana kipaji cha kurap na kuhaidi mbele ya Umati wa Mashabiki kuwa anamchukua huyo mtoto na kumwingiza kwenye Record Lebal yake ya Convict Music.. Wakenya wengi walifurahi kwa Kitendo hicho hasa kwa vile yule mtoto alitokea kwenye familia isiyo na uwezo ila alikuwa na kipaji cha kuimba....Kila mtu alishangilia kwa nguvu Akon alisimama na kutangaza kuwa ana msign huyo mtoto Convict Music Lebal ...Ila hali halisi mpaka sasa huyo Dogo Bado anasota Kenya na hana Mawasiliano yoyote na Akon Japo Kijana huyo Amejaribu sana kufanya Mawasiliano na Akon lakini Akon Hajibu chochote.....Imepita sasa Mwaka toka Kitendo hicho kitokee.....Swali .... JE AKON ALIMTUMIA HUYO DOGO KUPATA UMAARUFU KENYA NA KUFANYA SHOW YAKE IBAMBE? Angalia Video hapa Siku Akon Alipohaidi kumchukua huyo Dogo Mbele ya Umati:
0 comments: