Home » Unlabelled » MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..
MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..
Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘The Great’.
Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. |
Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful
Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga
alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda.
VIFO MILIONI 605
Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya
kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi
kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa
kuwatumia vibaraka wake na majini.
Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao.

WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU
Alisema kuwa kati ya watu
aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kundi la
Five Stars wapatao 14, Kanumba, Sharo Milionea na mwanamuziki James
Dandu ‘Mtoto wa Dandu’.
Pia alidai kuwa alihusika katika vita kati
ya aliyekuwa Rais wa Iraq, Sadam Hussein na Marekani kwa kutumia pepo la
uchonganishi alilolitaja kwa jina la ‘Magweju’.
Pia mchungaji huyo
alidai kuhusika na shambulio la hivi karibuni la Al-Shabaab katika
maduka ya Westgate la Nairobi nchini Kenya na matukio mengine mengi hadi
kufikia idadi hiyo ya vifo vya watu milioni 605.

AWAONEA HURUMA WASANII, AWAONYA
Mchungaji huyo aliendelea
kusimulia kuwa alipokuwa katika ulimwengu wa giza aliwahi kuwaonea
huruma wasanii kama Kanumba, Sharo Milionea na Mtoto wa Dandu na
kuwatokea kimiujiza akiwaonya waokoke kabla ya kuchukua roho zao huku
mashabiki wao wakibaki na simanzi wakiamini kuwa vifo vyao ni vya
kawaida.
Alidai kuwa baada ya kuwafuata mastaa hao na kuwaonya walikataa na badala yake akawaua.
Akiendelea kulishuhudia kanisa, Mchungaji Mayanga alisema kuwa kwa sasa
ameokoka na kuachana na mambo ya giza, hivyo haogopi kuzungumza ukweli
kwa kuwa roho wa Bwana anamuongoza kushuhudia kila kitu alichokifanya
ili waumini watambue uwezo wa Mungu.
ANA SIRI NZITO ZA VIGOGOMchungaji huyo aliendelea

Huku akiomba hifadhi ya majina ya
wahusika, mchungaji huyo alihitimisha ushuhuda wake kwa kudai kuwa ana
siri nzito za vigogo au watu wakubwa ambao aliwahi kwa namna moja au
nyingine kuwapa utajiri wa nguvu za giza.
UTABIRI
Hata hivyo, baadaye jamaa huyo alijitabiria kuwa atakamatwa na kufungwa siku moja kutokana na siri alizonazo.

“Yaani nina siri za watu wengi sana, nikiwaambia mtaogopa na nchi
itatikisika. Najua siku moja watu watanikamata na kunifunga pingu kwa
siri nilizonazo, lakini kamwe siogopi kwa kuwa Bwana ananiongoza,”
alisema Mchungaji Mayanga.
KANUMBA, SHARO MILIONEA
Kanumba alifariki dunia mwaka jana akiwa
nyumbani kwake Sinza-Vatican, Dar huku Sharo Milionea akipoteza uhai
kwenye ajali ya gari iliyotokea wilayani Muheza, Tanga wakati msanii
huyo akienda kwao mkoani humo akitokea Dar.

0 comments: