Home
» Habari za Kitaifa
» IMEFAHAMIKA JOKATE NA HASHEEM THABIT WALIKUWA WAPENZI KWA MIAKA MITATU KABLA YA KUACHANA
IMEFAHAMIKA JOKATE NA HASHEEM THABIT WALIKUWA WAPENZI KWA MIAKA MITATU KABLA YA KUACHANA
Muigizaji wa filamu, VJ wa Channel O
Tanzania, mbunifu wa mavazi na mjasiriamali, Jokate Mwegelo aka Kidoti
na mchezaji mrefu zaidi kwenye ligi ya mpira wa kikapu ya Marekani, NBA,
Hasheem Thabeet walikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi uliodumu kwa
miaka mitatu..Akizungumza kwenye kipindi cha
Amplifaya cha Clouds FM, Jokate alikiri kuwa mara nyingi alikuwa
akijitahidi mno kukwepa maswali yanayohusu mahusiano yake hali
iliyopelekea uhusiano wake na Hasheem usifahamike kwa watu wengi.

“Hashim Thabeet aka ‘Lulu’ nimedumu
naye kwa miaka miwili mpaka mitatu na Diamond nimedumu naye kama siyo
mwezi mmoja basi miwili,” alisema.

Jokate alisema baada ya hapo amekaa
kwa kipindi cha mwaka mmoja mpaka sasa bila kuwa na mahusiano ya
kimapenzi na mwanaume yoyote hali iliyomfanya awe na uhuru wa kufanya
mambo yake bila kusumbuliwa na mwanaume

0 comments: